1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages

 
 
 

 

 | 07.01.2009

Miaka 30 ya uhusiano wa kibalozi baina ya Uchina na Marekani

Marehemu Richard Nixon, rais wa Marekani aliyesababisha kuanzishwa uhusiano kamili wa kibalozi baina ya nchi yake na Uchina.

Ni miaka 30 sasa tangu Beijing na Washington kuwa na uhusiano wa kibalozi »

 

Matukio ya Kisiasa | 07.01.2009

Sherehe za Ashura huko Karbala, Iraq, zafikia kilele chake

Maandamano ya kuadhimisha Ashura katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq

Washia waadhimisha Ashura, kukumbuka kuuliwa Imam Hussein »

 

Matukio ya Kisiasa | 07.01.2009

Mzozo wa Gesi, kati ya Urusi na Ukraine.

Mitambo ya gesi ya Urusi nchini Ukraine.

Urusi imesema iko tayari kuanza tena mazungumzo na Ukraine, katika juhudi za kumaliza mzozo wa Gesi kati ya nchi hizo mbili ambao tayari umeathiri nchi mbalimbali barani Ulaya. »

 

Matukio ya Kisiasa | 07.01.2009

Juhudi za kidiplomasia za kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, zinaendelea.

Rais wa Misri, Hosni Mubarak, (kulia), akifanya mazungumzo na Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy katika mji wa Sharm el-Sheik, Misri.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linatarajia kurudi katika majadiliano kuhusu wito wa mataifa ya Kiarabu kutaka kusitishwa mapigano mara moja Gaza, huku Misri ikitoa pendekezo la kuwa mwenyeji wa mazungumzo hayo »

 

Matukio ya Kisiasa | 06.01.2009

Mzozo kuhusu mswada wa kudhibiti Uandishi Habari nchini Kenya

Rose Kimotho, katikati, Mkurugenzi mkuu wa radio ya Kameme - 101.1 FM nchini Kenya.

Hatua ya rais Mwai kibaki kutia saini mswada wa kuvidhibiti vyombo vya habari nchini Kenya imeendelea kupokelewa kwa maoni tofauti huku ikitishia kusababisha mgawanyiko katika serikali ya umoja wa kitaifa.  »

 

Search

Archive

Title

 

 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

Europa Aktuell - Das Magazin aus Brüssel