Matukio muhimu | 08.01.2009
Israel yaanzisha upya mashambalulio dhidi ya Gaza

Mabomu yamelenga mpaka wa Rafah na njia nyingine »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 07.01.2009
Israel yalegeza mashambulizi yake Gaza kwa saa 3 kwa siku.

Wanajeshi wa Israel wameanza kutekeleza mpango wa kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 3 kwa siku kutoa nafasi ya huduma za kibinadamu kuwafikia zaidi ya Wapalestzina 1.5 katika eneo la Gaza: »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 07.01.2009
Vita vya Gaza-Israel

Jeshi la Israel limetangaza kuwa litasimamisha mashambulizi kwa muda wa masaa matatu kila siku . »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 07.01.2009
Vita vya Ghaza-Israel .

Jeshi la Israel limetangaza kuwa litasimamisha mashambulizi kwa muda wa masaa matatu kila siku . »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 06.01.2009
Majeshi ya Israe yazingira miji ya Gaza

Majeshi ya Israel yaliendeleza mashambulizi yake dhidi ya Hamas katika miji ya ukanda wa Gaza yenye wakaazi wengi baada ya jeshi hilo kulizingira eneo hilo katika juhudi za kuwasaka wafuasi wa kundi la Hamas. »Mehr zu: title"







