Matukio muhimu | 02.12.2008
Hilary Clinton ateuliwa kuwa Waziri wa mambo ya kigeni

Rais Mteule wa Marekani Barack Obama ametangaza kikosi cha masuala ya usalama na kumemteua mpinzani wake wa zamani Bi Hilary Clinton kuwa Waziri wa mambo ya kigeni nchini humo. »Mehr zu: title"
Habari
Rais mteule Barack Obama ateua kikosi cha usalama
CHICAGO
Rais Mteule wa Marekani Barack Obama ametangaza kikosi cha masuala ya usalama na kumemteua mpinzani wake wa zamani ...
»Mehr zu: title"More news
Matukio ya Kisiasa | 01.12.2008
Mafaniko au ahadi tupu tokea kupitishwa kwa azimio la haki za binadaamu miaka 60 iliopita
Hapo tarehe 10 mwezi was Desemba mwaka 1948 mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa yalikubaliana juu ya azimio la dunia la haki za binaadamu.Mwaka huu mataifa hayo yanaadhamisha miaka 60 ya azimio hilo. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 01.12.2008
Mwanasiasa mwengine wa India ajiuzulu wakati hasira ikizidi kuchemka dhidi ya mashambulizi ya Mumbai

Mwanasiasa mwengine mwandamizi wa India ameomba kujiuzulu leo hii kutokana na mashambulizi ya mji wa Mumbai ambayo yametibuwa uhusiano kati ya India na hasimu yake mwenye kumiliki silaha za nuklea Pakistan. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 29.11.2008
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kukutana tena na kiongozi wa waasi nchni Congo

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa leo amewasili Goma kwa mazungumzo na kiongozi wa waasi Laurent Nkunda katika jaribio la kukomesha mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 01.12.2008
Siku ya Ukimwi yaadhimishwa ulimwenguni

Ni miaka 20 tangu siku ya Ukimwi kuadhimishwa kote ulimwenguni.Siku hii huadhimishwa ili kutathmini hatua zilizopigwa mpaka sasa katika vita dhidi ya Ukimwi. »Mehr zu: title"







